Mazungumzo baina ya Serikali ya Uganda na LRA20.02.200720 Februari 2007Serikali ya Uganda imesema kuwa mazungumzo na waasi wa LRA yataendelea kufanyika kama jinsi ilivyokubaliwa hapo awali.https://p.dw.com/p/CHJrWaasi wa LRA UgandaPicha: AP PhotoMatangazoKwa ufafanuzi zaidi mwandishi wetu Omar Mutasa amezungumza na waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa Bwana Henry Okello.