Mazoezi ya kijeshi ya kila mwaka kati ya jeshi la Marekani na mataifa 20 ya eneo la Mashariki mwa Afrika ambayo yamefanyika Kenya na Rwanda yanamailiza kesho. Mazoezi hayo ambayo yaliwakutanisha wanajeshi 800 na washirika wa NATO yalianza Februari 28.