You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
BERLIN.Viongozi wa G8 kukutana mwezi Juni kujadili swala la hali ya hewa
NAIROBI:Katibu Mkuu Ban Ki Moon kuweka kipaumbe katika harakati za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa
PARIS: Umoja wa Ulaya wataka mkataba mpya wa hali ya hewa ushughulikiwe.
PARIS.Serikali za ulimwengu zatakiwa zichukue hatua juu ya hali ya anga
Ripoti kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa yatolewa leo
Jopo la Umoja wa Mataifa linalohusika na mabadiko ya hali ya hewa dunia, IPCC, limetoa ripoti yake ya kurasa 21 hii leo mjini Paris Ufaransa. Ripoti ya jopo hilo inamlaumu binadamu kwa kusababisha mabadiliko ya hali ya hewa. Josephat Charo anaarifu zaidi.
Mkutano wa hali ya hewa mjini Paris
Ripoti ya IPCC yaonya dhidi ya madhara ya kuzidi hali ya ujoto ulimnwenguni
Beijing. Mazingira mada kuu katika mkutano na kati ya Wajerumani na Wachina.
BRUSSELS: Ulaya ipunguze uchafuzi wa mazingira
Nairobi. Mkutano wa hali ya hewa wataka kupitiwa upya kwa makubaliano ya Kyoto.
Mkutano wa mazingira mjini Nairobi
Mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa mjini Nairobi
NAIROBI: Mabadiliko ya hali ya hewa yahatarisha amani na usalama duniani
NAIROBI: Viongozi kujadili njia za kulinda hali ya hewa
Mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya hali ya hewa unaendelea jijini Nairobi, Kenya
Jamii za wafugaji na wavuvi zinatoa kilio chao jinsi maisha yao yanavyo athirika kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa
Juhudi za kupunguza uchafuzi wa mazingira
Kampeni inayoongozwa na Umoja wa Mataifa kupambana na kuongezeka kwa ujoto duniani,huenda ikawa na mabadiliko yatakayoweza kuzivutia nchi zaidi kama vile Marekani na China,baada ya mwaka 2012.
Nairobi.Wamasai nchini Kenya wadai mabadiliko ya hali ya hewa yanaharibi masingira yao asili.
NAIROBI: Mkutano wa kimataifa juu ya mabadiliko ya hali ya hewa watafuta mkataba mpya
NAIROBI:Mkutano wa kimataifa juu ya hali ya hewa waendelea Nairobi
LONDON: Wito wa kuchukua hatua zaidi kulinda mazingira
LONDON : Repoti yaonya juu ya mabadiliko ya hali ya hewa
London. Mabadiliko ya hali ya hewa yanaathiri sana mazao na watu wa Afrika.
LONDON: mabadiliko ya hali ya hewa yatishia juhudi za kuondoa umasikini barani Afrika
Helsinki. Viongozi wajadili kuhusu uchafuzi wa mazingira.
Watoto wanasaidia kusafisha mazingira
Miradi ya maendeleo daima huchukuliwa kuwa imefanikiwa,pale malengo mengi iwezekanavyo yanapotimizwa bila ya kuwa na gharama nyingi.
Beijing: Matatizo ya Mazingira katika Uchina yamekithiri.
Hali ya hewa na sekta ya uchumi
Hivi sasa mjini Montreal, Canada, wataalamu na wanasiasa kutoka kila pembe ya dunia wanazungumzia jinsi ya kupunguza utoaji wa gesi chafu zinazosababisha mabadiliko ya hali ya hewa. Wawakilishi wa kampuni za kiuchumi wameelewa fika kuwa kulinda mazingira ni maslahi yao.
Mkutano wa Mazingira waendelea Kanada
Marafiki wakubwa wa Marekani wameonyesha matumaini yao kuwa wanaweza kuishawishi nchi hiyo yenye wasiwasi kuhusu mbinu mpya za kupambana na kuongezeka kwa ujoto duniani katika mkutano wa Mazingira unaohudhuriwa na Wajumbe kutoka nchi 189 mjini Montreal, Kanada.
Mkutano wa kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa waanza mjini Montreal
Kwa mara nyengine tena mataifa wanachama wa umoja wa mataifa yanafanya mkutano wa kilele juu ya kuyalinda mazingira kuanzia hii leo mjini Montreal nchini Canada. Ni kweli kwamba mkataba wa Kyoto, ambao ulisababisha mivutano kati ya mataifa kabla kusainiwa, ulianza kufanya kazi kuanzia mwanzoni mwa mwaka. Hata hivyo lakini, mkataba huo bado hauna nguvu kwani kiwango cha gesi kutoka viwandani kinaendelea kuongezeka.
Mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa kufanyika mjini Montreal, Canada
Katika muongo uliopita mataifa mengi yalisaini mkataba wa umoja wa mataifa wa kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa. Lengo lao kubwa ni kutafuta njia za kupunguza na kukabiliana na ongezeko la uoto duniani. Sekretariati ya umoja wa mataifa ya kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa iliandaa mkutano na waandishi habari uliofanyika jana katika ukumbi wa Redio Deutsche Welle hapa Bonn.
Mazingira yasababisha aina mpya ya wakimbizi
Warsha juu ya mazingira na amani ilimalizika jana katika eneo la Wesseling hapa mjini Bonn. Mada kuu iliyojadiliwa ni tatizo kubwa la wakimbizi wa mazingira.
STOCKHOLM : Tuzo Mbadala ya Nobel kwa wanaharakati wa haki za binaadamu na mazingira
BERLIN:Madhamana wa CDU/CDU na walinzi wa Mazingira-Grüne kukutana
Noumea, New Caledonia. Uchafuzi wa mazingira wasababisha vifo vya mamilioni ya watu.
Oslo. Kiongozi wa mpango wa mazingira kujiuzulu.
Lisbon. Matatizo ya hali ya hewa yapungua katika Ulaya ya kati.
Waziri wa mazingira Irak anusurika kuuwawa.
Rykjavik, Greenland. Wito watolewa kuwapo na fikra mpya kuhusu mapambano ya mabadiliko ya hali ya hewa.
Kampeni juu ya mabadiliko ya hali ya hewa
Wakati wa mkutano wa nchini wanachama wa G8 mwezi ujao, kengele zitagongwa kama ishara kwa viongozi wa dunia iliwachukue hatua dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani.
New York. Leo ni siku ya mazingira. Miji yatakiwa kupanda miti zaidi.
Uchafuzi wa mazingira waharibu mfumo wa dunia kujiendesha.
Mkutano wa mwaka wa Shirika la Mazingira la Umoja wa mataifa wapokea ripoti kuhusu janga la Tsunami.
Yasema hatua za kimaumbile hazina budi kuchukuliwa kuzuwia majanga ya aina hiyo siku za usoni.
Mkutano wa mwaka wa Shirika la Mazingira la Umoja wa mataifa wapokea ripoti kuhusu janga la Tsunami.
Ripoti inapendekeza hatua za kimaumbile za vizuizi katika kingo za pwani,kuzuwia majanga ya aina hiyo siku za usoni.
TOKYO: Mkataba wa mazingira waanza kutumika.
SURA YA UJERUMANI NA MIAKA 25 TANGU KUASISIWA CHAMA CHA KIJANI-WALINZI WA USAFI WA MAZINGIRA:
SHIRIKA LA MAZINGIRA LA UMOJA WA MATAIFA NA TSUNAMI
Athari za zilzala iliyoshambulia katika eneo la Bahari ya Hindi imelifanya Shirika la Umoja wa Mataifa lizipe umbele harakati za kuunda mfumo wa kuonya mapema katika eneo hilo. Habari hiyo ilitangazwa na Klaus Töfper, Mkurugenzi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa wakati akihudhuria Mkutano wa Kimataifa mjini London kuhusu mustakabali wa mataifa ya visiwa katika maeneo yenye kuhitaji maendeleo. Kwanza watu wa eneo hilo watahitaji kupatiwa misaada ya kuikarabati hasara ya kiuchumi iliyosababishwa na Tsunami. Kisha hapo patakuweko mahitaji ya kukichunguza kiwango cha hasara kilichotiwa katika mazingira na maafa ya mafuriko ya maji, alisema Bwana Töpfer.
Berlin: Mkuu wa shirika la umoja wa mataifa la usafi wa mazingira,
LONDON: Tetesi zapamba moto nchini Uingereza, kuhusu mazingira ilimotokea ajali ya gari iliyosababisha kifo cha Diana
RIPOTI YA MAZINGIRA 2003
Mkutano wa Hali ya Hewa wa UM wamalizika:
Milan: Mkutano wa kimataifa wa hali ya hewa umeanza:
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 20 wa 21
Ukurasa unaofuatia