1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mauaji katika migodi Tarime

Veronica Natalis7 Machi 2017

Zipo tafiti zinazoonyesha kwamba kuna tatizo la watu wanaoishi karibu na migodini kuuawa au kuumia. Mwandishi wetu Veronica Natalis ametuandalia makala ya Mbiu ya Mnyonge na anaangalia athari za vipigo kwa watu wanaoishi karibu na migodi Tarime, Tanzania.

https://p.dw.com/p/2YlWk
James Emmanuel akiongea na mwandishi wa DW Veronica Natalis katika eneo la Nyamongo Tarime, eneo lililo karibu na mgodi wa North Mara.
James Emmanuel akiongea na mwandishi wa DW Veronica Natalis katika eneo la Nyamongo Tarime, eneo lililo karibu na mgodi wa North Mara.Picha: DW/V.Natalis
James Emmanuel akiwa na jeraha la bomu linalodaiwa kupigwa na askari walinzi wa mgodi
James Emmanuel akiwa na jeraha la bomu linalodaiwa kupigwa na askari walinzi wa mgodi Picha: DW/V.Natalis
Risasi za gololi zinazodaiwa kutumiwa na askari walinzi wa mgodi wa North Mara uliopo Tarime, wajulikanao kwa jina la Mobile, zilikutwa mwilini mwa kijana Rioba Marwa Hamba ambae anadaiwa kupigwa na askari hao mwaka 2016 na baadae kuchomwa kisu mwaka huo huo na kusababisha kifo chake.
Risasi za gololi zinazodaiwa kutumiwa na askari walinzi wa mgodi wa North Mara uliopo Tarime, wajulikanao kwa jina la Mobile, zilikutwa mwilini mwa kijana Rioba Marwa Hamba ambae anadaiwa kupigwa na askari hao mwaka 2016 na baadae kuchomwa kisu mwaka huo huo na kusababisha kifo chake.Picha: DW/V.Natalis