Vita dhidi ya ufisadi vilishika kasi nchini Burundi katika mwaka 2022 kufuatia juhudi za rais w anchi hiyo Evariste Ndayishimiye. Hebu tuyatupie macho na masikio baadhi ya matukio mengine yaliyoshuhudiwa nchini humo katika mwaka 2022. Amida Issa anasimulia zaidi.