Mauwaji, mashambulizi mbalimbali, vita baina ya jeshi la Congo na kundi la uasi M23 katika wilaya ya Rutshuru na maandamano dhidi ya ujumbe wa Umoja wa mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO, ni miongoni tu mwa matukio yaliyoitikisa Congo mwaka 2022. John Kanyunyu anasimulia zaidi.