Matreni barani Afrika
China inataka kuboresha matreni nje ya nchi - na kwa hivyo wanaelekea Afrika
Treni la haraka Abuja - Kaduna
Kuanzia Julai 2016 nchini Nigeria kuna treni inayotoka mji mkuu wa Abujan na kuelekea Kaduna, kaskazini mwa nchi hiyo. Ujenzi wa barabara ya treni ambayo imesambaa kilomita 180 inasemekana imetumia euro millioni 800. Benki ya China ya Export Import Bank imetoa mkopo wa euro miliioni 450
Mkuu wa Matreni
Mgeni wa heshima katika safari ya treni jipya: Rais Muhammadu Buhari. Safari inachukua masaa mawili na dakika 40, bei ya tiketi ni sawa euro 3 kwa ajili ya wasafiri wa daraja la pili na euro 4.25 daraja 1.
Tram ( treni la barabarani ) mjini Addis Abeba
Nchi Ethiopia kuna tram la barabarani la mwanzo kuanzia September 2015. Tram hilo limenyengwa na kampuni ya Wachina ya Railway group, huku pia walipatiwa mkopo kutoka benki ya China Exim Bank. Wachina wanaohusika katika uendeshaji na ukarabati wa mfumo wa tram hadi 2020, na baadae shirika la reli la Ethiopia litasimamia.
Mtandao wa Afrika Mashariki
Wakenya 25,000 na Wachina 3000 wanashirikiana katika ujenzi wa njia ya treni 472-kilomita kati ya Mombasa na Nairobi. Gharama ya ujenzi huu ni EUR billioni 3.6, zaidi ya asilimia 90 unaofadhiliwa na Wachina. Baadaye, miji mingine ya Afrika Mashariki kama Kampala na Juba pia itaungwanishwa.
Makumbusho ya treni zinazotumia makaa Livingstone
Usafiri wa reli katika Afrika una historia ndefu. Njia ya mwanzo ilifunguliwa mwaka 1856, kati ya Alexandria na Cairo. treni hili lilikuwa likitumia mkaa linaloitwa locomotive ambalo lilianza kutumika katika karne ya 20 mpaka mwaka 1976 katika nchi inajulikana leo kama Zambia na linaweza kuonekana katika makumbusho ya Livingstone.
Baada ya ukoloni
Njia za treni nyingi zilijegwa wakati wa ukoloni. treni wakati huo zilitumika kusafirishia malighafi pwani, na kutoka hapo zilipelekwa Ulaya.Njia hizi nyingi sasa hivi zimekufa hazitumiki tena. Njia katika picha hii ilijegwa 1914 baina ya Swakopmund na Walvis Bay, ambayo ilibadilishwa upya mwaka 1980
Mtandao wa Afrika Mashariki
Wakenya 25,000 na Wachina 3000 wanashirikiana katika ujenzi wa njia ya treni 472-kilomita kati ya Mombasa na Nairobi. Gharama ya ujenzi huu ni EUR billioni 3.6, zaidi ya asilimia 90 unaofadhiliwa na Wachina. Baadaye, miji mingine ya Afrika Mashariki kama Kampala na Juba pia itaungwanishwa
Kituo cha treni yatima, je kitafanya kazi karibuni?
Katika nchi nyingi za Afrika, uchumi unakuwa kwa hivyo mahitaji ya huduma za usafiri zinaongezeka. Kama China na wawekazaji wanaweza yatima kama hii katika Addis Abeba tena inaweza kuwa kushikamana na usafiri wa reli.
Afrika ya Kusini yatengeneza barabara ya treni
Mfumo wa reli wa mkoa wa "Gautrain" huunganisha miji ya Pretoria na Johannesburg na uwanja wa ndege mkubwa barani Afrika - na inapaswa kupanuliwa katika miaka 20 ijayo kutoka kilomita 80 hadi 230 kwa sasa. Afrika Kusini ina mtandao wa reli wa umbali mrefu katika barani Afrika wa kilomita 21,000 ya reli. Reli ijayo itakuwa: Sudan (7251 km) na Misri (5085 km).
Treni la mwendo mkali la ufaransa Französische katika kituo kutoka Tangier
Labada treni ya kasi zaidi barani Afrika ziko upande wa kaskazini wa bara hilo. Tayari kuanzia 2015 nchini Morocco kuliwa na treni la kwanza kati ya treni 12 zilizoagizwa na TGV. treni linatembea kilomita 320 kwa saa, likiwa na safari kati ya Tanger na Casablanca linachiku tu muda wa saa moja na dakika kumi. Baadae njia itatanuliwa kufika Algeria na Tunisia.