1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matarajio ya Watanzania kuhusu kombe la dunia la kandanda 2010

Josephat Nyiro Charo10 Juni 2010

Mchuano wa kwanza ni hapo kesho kati ya Afrika Kusini na Mexico

https://p.dw.com/p/NmsL
Kombe la dunia la kandanda linaloshindaniwa Afrika Kusini mwaka huuPicha: picture alliance/augenklick

Nchini Afrika kusini mwenyeji wa mwaka huu wa mashindano ya kombe la dunia la mpira wa miguu, shamrashamra tayari zimeanza wakati kesho basi ndio timu zitaanza kushuka dimbani.

Tayari homa ya mashindano hayo imeshaanza kupanda sehemu mbalimbali duniani. Nchini Tanzania je wanabashiria nini kuhusiana na mashindano hayo?

George Njogopa kutoka Dar es Salaam anatuarifu zaidi