Spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi kuongoza ujumbe kuelekea katika kanda ya Asia na Pasifiki , gavana wa jimbo la Sevastopol katika rasi ya Crimea aishtumu Ukraine kwa kufanya shambulizi la ndege isiyo na rubani na balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Linda Thomas-Greenfield asema hakupaswi tena kuwa na shaka kwamba Urusi inanuia kuisambaratisha kabisa Ukraine .