Machafuko zaidi yanatarajiwa nchini Belarus leo, katibu mkuu wa jumuiya ya kujihami ya NATO Jens Stoltenberg atoa wito wa kuangalia kwa makini suala la vita dhidi ya mabadiliko ya tabianchi na pande zinazozozana nchini Yemen zakubaliana kubadilishana wafungwa takriban elfu 1