Urusi yafanya mashambulizi ya usiku kucha ya ndege zisizokuwa na rubani nchini Ukraine, zaidi ya watu 700 wamekamatwa na polisi nchini Ufaransa, na waziri wa mambo ya kigeni wa Iran, Hossein Amirabdollahian asema nchi yake imesitisha kupeleka balozi mpya nchini Sweden