Mashambulizi manne ya makombora yalenga miundo mbinu ya kijeshi katika eneo la Yavoriv Magharibi mwa Ukraine, naibu katibu mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO Mircea Geoana asema uvamizi wa kijeshi wa Urusi nchini Ukraine unaonekana kufifia na Ujerumani yasema imefanya maandalizi yote ya mchakato wa uidhinishaji wa haraka iwapo Finland na Sweden zitaamua kuomba uanachama wa NATO