1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 11.03.2023

11 Machi 2023

Ukraine imeamua kuendeleza mapigano katika mji ulioharibiwa wa Bakhmut, bunge la umma wa China, limemteua Li Qiang kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo na shambulizi la bomu lasababisha kifo cha mtu 1 na kujeruhiwa kwa wengine 5 nchini Afghanistan

https://p.dw.com/p/4OXqN