1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 10.07.2021

10 Julai 2021

Bunge la seneti nchini Haiti lamchagua kiongozi wake Joseph Lambert kuwa mrithi wa muda wa rais aliyeuawa hivi karibuni, Jovenel Moise, mawaziri wa fedha wa kundi la G20 kuidhinisha mkataba wa kihistoria wa kuzitoza ushuru kampuni za kimataifa kwa kiwango bora zaidi na rais wa Marekani Joe Biden kuandaa mkutano na kansela wa Ujerumani Angela Merkel Alhamisi ijayo katika ikulu ya White House

https://p.dw.com/p/3wJ8N