Rais wa Marekani Joe Biden na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin watahadharishana kuhusu mzozo wa Ukraine.//
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ahimiza mshikamano wa umma katika vita dhidi ya COVID-19.//
Mamia ya makaazi ya watu yateketea moto na maelfu ya watu waokolewa katika jimbo la Colorado Marekani.