Marekani inapanga kuongeza wanajeshi wa ziada katika eneo la Ulaya Mashariki //Jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika magharibi, ECOWAS yasimamisha uanachama wa Burkina Faso katika jumuiya hiyo// Marekani yafuta safari kadhaa za ndege kufuatia hali mbaya ya hewa.