Hujambo na habari za Krismasi. Miongoni mwa yaliyomo kwenye matangazo ya mchana leo: Papa Francis na wakuu wengine wa kidini watuma ujumbe wa kipekee wa Krismasi kwa viongozi wa Sudan Kusini kuunda serikali ya kitaifa ya mpito. //Watu 35 wameuawa nchini Burkina Faso kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na wanamgambo wa itikadi kali.//Mashambulizi yaua watu 8 Idlib.