Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameshapiga kura yake katika uchaguzi wa rais unaofanyika leo. Upande wa upinzani Venezuela kuingiza misaada ya kiutu nchini humo kupitia mpaka wa Colombia. Na, Kardinali wa ngazi ya juu wa Kanisa Katoliki akiri mafaili ya mpadri wanaoshukiwa kwa unyanyasaji wa ngono yaliharibiwa.