1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 21.10.2017

Yusra Buwayhid
21 Oktoba 2017

Serikali ya Uhispania yatishia kulipokonya jimbo la Catalonia uhuru wa kujitawala. Watu watano wajeruhiwa mjini Munich hapa Ujerumani katika shambulio la kisu. Askari 52 wauawa Misri katika mapambano na IS.

https://p.dw.com/p/2mI7L