Vijana wa chama tawala cha ZANU-PF cha Zimambwe wamtaka Rais Robert Mugabe na mkewe wafukuzwe chama. Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu, Saad Hariri, amesema atarejea Lebanon katika siku zijazo wakati akiwa nchini Ufaransa. Na mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto ya Ujerumani yaendelea leo.