SiasaMhafidhina Ebrahim Raisi ashinda uchaguzi wa rais Iran.To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSaumu Njama19.06.202119 Juni 2021Mhafidhina Ebrahim Rais ashinda uchaguzi wa rais Iran. Baraza la Umoja wa Mataifa latoa wito wa kusitishwa usambazaji silaha Myanmar. Palestina yaahirisha makubaliano ya kupokea chanjo kutoka Israel. https://p.dw.com/p/3vDCqMatangazo