Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amesema anataka kuwasilisha mpango mpya kwa wabunge katika wiki zijaz. Mwanadiplomasia wa juu wa Saudi Arabia amesema taifa hilo la kifalme halitaki vita lakini litajitetea.Mbunge wa Republican apendekeza mchakato wa kumtimua rais Trump. UNHCR lautaka Umoja wa Ulaya kutowarejesha wahamiaji Libya.