1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 18.10.2020

SK2 / S02S18 Oktoba 2020

VIDOKEZO: Nagorno-Karabakh yasema wanajeshi wake 673 wameuawa tangu machafuko kuanza. // Iran yasema vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi yake vimeondolewa. // Na Guinea yapiga kura kumchagua rais huku kukiwa na hofu ya kuibuka machafuko.

https://p.dw.com/p/3k64k