Kwenye matangazo yetu leo mchana: Hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence yatawala katika mkutano wa usalama mjini Munich, Ujerumani. Waziri Mkuu wa Uturuki Binali Yildrim kufanya kampeni Ujerumani kuelekea kura ya maoni ya mwzi Aprili. Mtuhumiwa mwingine akamatwa kwa mauaji ya ndugu wa rais wa Korea Kaskazini