1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 17.05.2020

SK2 / S02S17 Mei 2020

Waziri mkuu wa Uingereza akiri watu wamekumba baada ya serikali yake kulegeza amri ya watu kutokutoka nje,Qatar imeanza kutekeleza adhabu mpya ya hadi miaka mitatu jela, kwa watu watakaoshindwa kutii agizo la kuvaa barakoa,Brazili yathibitisha maambukizi mapya 14,919 na vifo 816 kutokana na corona Habari kamili

https://p.dw.com/p/3cME5