1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 16.02.2019

Sylvia Mwehozi
16 Februari 2019

Rais wa Nigeria amekilaumu chama kikuu cha upinzani kuwa ndio chanzo cha kuahirishwa kwa uchaguzi.. Trump atangaza hali ya dharura mpakani na Mexico. Na Vatican yamfukuza askofu wa zamani baada ya kumkuta na hatia ya unyanyasaji kingono.

https://p.dw.com/p/3DUyu