Kwenye matangazo yetu leo mchana: Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya janga kubwa la njaa duniani. Umoja wa Ulaya kujibu katika saa 48 zijazo pendekezo la Uingereza la kutaka kujitoa Umoja wa Ulaya. Mvutano waendelea baina ya Uturuki na Uholanzi juu ya ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki katika mji wa Rotterdam