1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 09.04.2017

Yusra Buwayhid
9 Aprili 2017

Watu 15 wameuawa katika mlipuko wa kanisa Misri. Marekani imetuma meli ya kubeba ndege za kivita katika rasi ya Korea. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Sigmar Gabriel ataka uchunguzi wa haraka ufanyike dhidi ya shambulio la sumu la Syria.

https://p.dw.com/p/2awp4