Miongoni mwa yaliyomo: +++Jumuiya ya kujihami ya NATO imezionya Urusi na Belarus dhidi ya kuwatishia washirika wake.
+++Wananchi wa jimbo la mashariki mwa Ujerumani-Saxony-Anhalt wanapiga kura hii leo. ++++Na Marekani kuipatia Taiwan chanjo 750,000 za Covid-19