Rais wa Marekani Donald Trump aahidi kuwashinda wafuasi wa mrengo wa kushoto wanaofanya maandamano nchini humo. Watu wapatao 34 wafariki Japan katika maporomoko ya matope. Na, Italia hatimaye imekubali kuwahamisha wahamiaji 180 kwenye meli ya karantini.