Mazungumzo ya mkwamo wa shughuli za serikali ya Marekani yataendelea leo hii. Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Yemen awasili mjini Sanaa kuhimiza utekelezaji wa kusitisha mapigano mji wa bandari wa Hodeida. Na, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yaonywa na jumuiya ya kimataifa kuheshimu matokeo ya uchaguzi.