Korea Kaskazini yafanya jaribio la bomu la Haidrogen leo hii. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na mpinzani wake mkuu Martin Schulz, watakutana leo kwa mdahalo pekee wa televisheni. Mkutano wa kilele wa mataifa yanayoinukia kiuchumi wa kundi la BRICS waanza leo China.