Wapiganaji wa Tigray wapuuza ripoti kwamba watakabiliwa na umma wenye hasira au kusababisha umwagikaji mkubwa wa damu, vikosi vya usalama vyapelekwa mjini Baghdad kuchunguza jaribio la kumuua waziri mkuu wa Iraq Mustafa al-Kadhimi na serikali ya Uingereza yakanusha madai mapya ya rushwa