Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema amefadhaishwa na kuvunjika kwa makubaliano ya kusitisha vita kwenye Ukanda wa Gaza, mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya ICC Karim Khan, ametoa wito kwa pande mbili zinazohusika katika vita kati ya Israel na Hamas kuzingatia sheria za kimataifa na Ukraine yasema vikosi vya Urusi vimewauwa wanajeshi wake walionesha nia ya kujisalimisha