1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 15.05.2022

15 Mei 2022

Serikali ya Finland yatangaza kuwa itawasilisha ombi la kujiunga na muungano wa kujihami wa NATO, idadi kubwa ya wapiga kura yajitokeza kwa zoezi la upigaji kura katika jimbo la North Rhine Westphalia nchini Ujerumani na wabunge nchini Somalia wapiga kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa kwa muda mrefu

https://p.dw.com/p/4BKoU