Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz asema anapanga kuzungumza na rais wa Urusi Vladimir Putin, Urusi yasema ''itajibu'' baada ya Iceland kuwa taifa la kwanza kusimamisha shughuli zake za ubalozi mjini Moscow na mamia ya wanaharakati, wanafunzi, na raia wa Hong Kong wanaoishi Taiwan wafanya maandamano