1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 02.01.2022

2 Januari 2022

Jeshi la Korea Kusini lasema mtu asiyejulikana aingia Korea Kaskazini kutoka Kusini katika ukikaji wa nadra wa mpaka, mwanasheria mkuu wa kwanza muafrika wa Kenya aliyekuwa pia waziri Charles Mugane Njonjo afariki dunia na jeshi la mapinduzi la Iran lawauwa majambazi sita waliokuwa wamejihami katika eneo la Kusini Mashariki mwa nchi hiyo

https://p.dw.com/p/4548f