Watu milioni mbili kuathiriwa kufuatia uamuzi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani kusitisha shughuli zake Kaskazini mwa Darfur.//
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ahimiza mshikamano katika vita dhidi ya COVID-19.//
Rais wa Marekani Joe Biden na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin watahadharishana kuhusu mzozo wa Ukraine