Tuliyo nayo jioni hii : Kansela Angela Merkel wa Ujerumani kutohudhuria mkutano wa chama ndugu cha CSU//Rais Francois Hollande wa Ufaransa akiri kuwajibika kwa Ufaransa kuwatia kufungoni watu wa kabila la Waroma wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia //Maelfu ya wananchi wa Korea Kusini waandamana kutaka kijiuzulu kwa Rais Park Geun-hye.