Jioni hii tuliyo nayo: Polisi mjini Paris, wametumia gesi ya kutoa machozi kuutawanya umati wa waandamanaji. Chama cha Ireland ya Kaskazini chaongeza mbinyo dhidi ya Waziri mkuu Theresa May. Pakistan yamkamata mhubiri aliyechochea maandamano ya mwezi uliopita.