Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amotoa onyo kali dhidi ya kuuacha muundo wa siasa za dunia kusambaratika. Wanamgambo wa Boko Haram wamewaua watu wanane huko Kaskazini mashariki mwa Nigeria. Iran yazinyoshea kidole Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu ikizituhumu kuhusika na shambulio lililowaua askari 27 wa jeshi la mapinduzi.