Taarifa tulizokuletea jioni ya leo ni pamoja na: Waziri wa mambo ya nje wa Italia ateuliwa kuwa waziri mkuu mpya//Zaidi ya watu 100 wamekufa nchini Nigeria baada ya paa la kanisa moja kuanguka//Serikali ya Uturuki yatangaza maombolezo ya taifa baada ya watu kadhaa kuuwawa katika mashambulio ya mabomu