Polisi ya Ujerumani imesema mwanaume aliyekamatwa kutokana na tukio la kuwashikilia watu mateka mjini Dresden amefariki dunia. Urusi yakanusha na kuikosoa tathmini ya Marekani kuhusu ushirikiano wake wa kijeshi na Iran. Taiwan yaahidi kuimarisha ushirikiano wake na Japan.