Umoja wa Afrika AU walaani kauli ya Rais Yahya Jammeh wa Gambia ya kuyakataa matokeo ya uchaguzi. Rais wa Colombia Juan Manuel Santos akabidhiwa tuzo ya amani ya Nobel mjini Oslo, Norway. Serikali ya Ufaransa inadhamiria kutanua hatua za hali ya dharura hadi kufikia mwezi Julai 2017.