Waziri mkuu wa Uingereza ala kiapo cha utiifu kwa Mfalme Charles III. Ufaransa, Uingereza na Ujerumani zasikitishwa na msimamo mpya wa Iran kuhusu mazungumzo ya nyuklia. Na Vikosi vya Ukraine vimedai kuingia katika mji wa Kupiansk mashariki mwa nchi hiyo.