Vita vya Yemen vimeingia mwaka wake wa tano/ India inachukua hatua madhubuti kwa lengo la kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona/ Congo: Asasi za kiraia katika mkoa wa Kivu kusini zinataka kuandaliwe mazungumzo mapya ya amani kati ya serikali ya nchi hiyo na makundi yanayojiita Mai-Mai/ Miongo miwili imekamilika tangu Putin aliposhinda uchaguzi kwa mara ya kwanza nchini Urusi