Kwenye matangazo yetu leo asubuhi:Viongozi wa nchi saba zenye utajiri duniani wakutana na marais wa Afrika leo katika mkutano wa kilele wa viongozi hao unaofanyika katika mji wa Taormina kisiwani Sicily, Italia, Watuhumiwa zaidi wakamatwa kuhusiana na shambulio la mjini Manchester. Kikosi cha anga cha Libya chashiriki katika mashambulio yaliyoongozwa na Misri katika mji wa Derna