Rais wa Marekani, Donald Trump atachunguzwa na anaweza kuondolewa madarakani, fahamu mchakato huo unavyofanyika nchini Marekani. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ataka mataifa kuachana na nishati zinazochangia mabadiliko ya tabianchi. Kifo cha mwanasiasa wa upinzani Syldio Dusabumuremyi na wengine kabla yake vinaleta taswira gani kuhusu usalama na uhuru wa kisiasa Rwanda?