Miongoni mwa taarifa tulizokuandalia ni pamoja na watu 12 wameuawa baada ya dereva mmoja kulivurumisha lori katika umati wa watu mjini Berlin, wakati tukielekea ukingoni mwa mwaka huu vifo vya wahamiaji wanaojaribu kuyakimbia mataifa yao navyo vimezidi kushika kasi.