Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF chamshinikiza Rais Robert Mugabe ajiuzulu // Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi umekamilika rasmi usiku wa jana mjini Bonn, Ujerumani // Polisi nchini Rwanda imetangaza kwamba ndani ya kipindi cha miezi mitatu iliyopita ajali za barabarani zimepungua kwa kiwango cha asilimia 70.